AI Image: Juma anaenda sokoni kununua kuku wa kupika. Anamchagua kuku mmoja mkubwa sana. Ghafla kuku anamkodol
Prompt
Juma anaenda sokoni kununua kuku wa kupika. Anamchagua kuku mmoja mkubwa sana. Ghafla kuku anamkodolea macho, anamzunguka, halafu anaanza kutembea mbele yake kama ndiye anayemiliki soko. Juma anamkimbiza, lakini kila akitaka kumkamata, kuku anamzidi ujanja. Musa anafika na kusema: "Usimkimbize... mwombe msamaha kwanza!" Juma anaamini na kuanza kusema: "Samahani Kuku Boss, tafadhali njoo." Badala ya kuja, kuku anaruka juu ya kichwa cha Juma na kuwika kwa nguvu. Watu wote sokoni wanacheka. Mwisho kabisa, Bibi Zawadi anasema: "Leo hujanunua kuku... kuku amekununua wewe!" 🤣 Juma anabaki amesimama akiwa amechanganyikiwa, huku Kuku Boss akiondoka kwa mwendo wa kujigamba.
Created July 5, 2026
Create Your Own Version
Use this prompt as inspiration or remix it into something new.